Download mp3: Dk Kwenye Beat – Kwa Yesu Sawa (Enyewe) lyrics | New song

0
124

Dk Kwenye Beat – Kwa Yesu Sawa
(Enyewe) Kenyan gospel singer dk kwenye beat releases kwa Yesu sawa (enyewe) the song we have been waiting for.

KWA YESU SAWA (ENYEWE) LYRICS……..
STAMINA DADDY
DK KWENYE BEAT
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Musa anajua aaaah
Sarah anajua,hakuna kama wewe
Yakobo anajua aaaaah
Pia mimi najua jua jua juaaaaaaaa
Bibilia nimesoma kitabu cha kwanza hadi mwisho…
aaaaah
Ukweli wee ni nomaa kila shida wee ndio suluhisho ………
Na ukicome through
Vipofu wanaona vipofu wanaona…….
Na ukicome through
Ugonjwa zinapona ugonjwa zinapona…….
Ukipita Kenyatta hakuna biashara watu wanapona
hasara…….
Na Ulitupata saa tumengara shetani akanuna hasara ………
Ukipita Kenyatta hakuna biashara watu wanapona
hasara ……
Na Ulitupata saa tumengara shetani akanuna hasara ……….
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Musa anajua aaaah
Sarah anajua,hakuna kama wewe
Yakobo anajua aaaaah
Pia mimi najua jua jua juaaaaaaaa
Tumungu twingi sikataitaitai….
Lakini twote tumediediedie….
Wee ndio Mungu wee ndio Ngai Ngai Ngai Ngai Ngai
Ngai…..
Mbio Mbio nakimbia kwako…
Ndio Ndio yote mambo kwako..
Mambo sawa mambo sawasawa
Kwa Yesu sawa mambo sawasawa
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Musa anajua aaaah
Sarah anajua,hakuna kama wewe
Yakobo anajua aaaaah
Pia mimi najua jua jua juaaaaaaaa
Ukipita Kenyatta hakuna biashara watu wanapona
hasara …
Na Ulitupata saa tumengara shetani akanuna hasara …
Ukipita Kenyatta hakuna biashara watu wanapona
hasara …
Na Ulitupata saa tumengara shetani akanuna hasara ….
Mambo sawa mambo sawasawa
Kwa Yesu sawa mambo sawasawa
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Enyewe enyewe hakuna kama wewe
Musa anajua aaaah
Sarah anajua,hakuna kama wewe
Yakobo anajua aaaaah
Pia mimi najua jua jua juaaaaaaaa

The post Download mp3: Dk Kwenye Beat – Kwa Yesu Sawa (Enyewe) lyrics appeared first on Kenyan Music Blog.

Download all latest music from our web platform , we are here to ensure that music is alive , keep music alive for music promotional services contact us

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here