ABDU KIBA:Kwanini Colabo nyingi na Ali Kiba?Ufafanuzi wa SINGLE,Mahusiano,Management?? mp3 download

8
19Kwenye Leotena ya Cloudsfm leo alikuwepo msanii wa bongo fleva Abdu Kiba ambaye ni mdogo pia wa msanii Ali Kiba.wiki iliyopita Abdu ameachia wimbo wake mpya Single ambao amemshirikisha kakayake Ali Kiba na inaonekana ni nyimbo nyingi amemshirikisha Ali hivyo wananzengo wakataka kufahamu kwanini Abdu hufanya hivyoo.??
Sikiliza majibu ya Abdu kuhusiana na hilo…

8 COMMENTS

  1. duuu interview Fanya vipindi vingine ila sio Leo tena hii team ni mwisho kiukwli yani hadi raha mie nawapenda sana ikiwezekana watu wajege Leo tena na sio popote…

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here