Eko Dydda – Cheki Vile (Official Video) mp3 download

50
19Here is the official video for my new single ‘Cheki Vile’ – out now.

Director – NF Films

~

http://snapchat.com/add/ekodydda
http://google.com/+ekodydda1
http://instagram.com/ekodydda
http://facebook.com/Ekodydda01

Lyrics

VERSE 1

Kujifanya high class tuliachia twiga !!! Copy JESUS , YESU ndio naiga !!! Proverbs 31 usi copy 8 figure !!! Achana pesa usifuate 6 figure !!! The house of THE LORD ndio home, sikuhizi nashinda kejani kama mzee kobe!!! Stand out kwa bake kama Kobe Bryant !!! Umenishangaza niko obe !!! Okay ni GOD amefanya and I know HE did it !!! Yesu ndio kusema and i know HE did it !!! Me nina ROHO , me nina ROHO !!! HOLY SPIRIT and I know this !!! Misikuwa na noti!!! Misikuwa na notice !!! Misikuwa na copy !!! Salon haina more piece !!! YESU ndio ana more peace!!! Repeat it , repeat it, repeat it, repeat it !!! Ona vile ameni jaz !!! Mali bila managers !!! Zunguka ukuta Jericho na trumpet wakidhani jazz !!! Situnafuataga JESUS !!! Pia me na follow the leader !!! Akifanya pia me nafanya ju mina echo !!! Una kaa base ndio u neutralize acids !!! Noma ka ninja assassins !!! Jaribu YESU wacha waswasi !!!

VERSE 2

Tuko na JESUS THE friend of sinners !!! Umetucheki have you ever seen us !!! Impossible ndio neno yenye sina !!! Tuna beat kilakitu Conjestina !!! Napenda vile tuna GOD !!! Napenda vile tuna walk !!! Napenda vile tuna roll !!! Napenda vile tuna ball !!! Ameni fightia kutoka misiri misiri misiri !!! Kanipanguzia machozi me misilii misilii !!! Chekini past chikini now !!! Chekini then chekini come !!! Chekini LOVE chekini GOD !!! Itabaki watu wame know !!! Itabaki waezi sema no !!! Itabaki waskize NENO !!! Umenipa life in abundance tuna party !!! Bash siendi pity party !!! Dhambi nakanyagia kama patipati !!! Nilikuwa na , nilikuwa na , na nili nilikuwa na deni lipeni lipeni then HE did it !!! Msalaba ali dedi HE paid it and HE did it !!! YESU ni kweli na Ye ni way we need it !!! Me nina ROHO, me nina ROHO !!! MUNGU ni jemedari , MUNGU ni jemedari kiri kiri !!! MUNGU ni serekali MUNGU ni serekali kiri kiri !!! MUNGU ni jenerali MUNGU ni jenerali kiri kiri !!! Repeat it , repeat it

!!! Chorus

Cheki vile * 6
Cheki *3
Check check
Cheki vile CHRIST amefanya tuko juu *3
Cheki vile Hahahahaha

Cheza chini, cheza ndogo *3
Cheza chini haha

#TribeAllGeneration #ApanatambuaUkabila #JESUSculture #loveCult

50 COMMENTS

  1. Una kaa base ndio u nitraulize acids ilustration:unlike magnetic poles attract but like poles repel. Being like nonechristians doesn't make them Christians , but standing out and being different gives a 97% chance of them turning to Christ.     And to Eko Dydda 11yr old fan.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here